AFARIKI DUNIANI KATIKA MAZINGIRA TATA:

 Mkazi wa Kiluvya B wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani, Chiva Rashid mwenye umri wa miaka 40 amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha nyumbani kwake ikidaiwa kujiua


baada ya kutokea ugomvi baina yake na mkewe.

Chapisha Maoni

0 Maoni