Ni moja ya video zinasosambaa mitandaoni kuhusu sarafu mpya ya Shilingi Elfu hamsini nchini Tanzania.wengi wametoa hoja na gumzo mbalimbali wengine wakisema kutakuwa na janga la kuwepo kwa mkondo mkubwa wa pesa utakaosababisha kuvunjwa kwa heshima ya pesa ya Kitanzania, japo bado serikali haijaweka wazi suala hili.
0 Maoni
TRUE