Kwa Mwimbaji yeyote aliye tayari kusambaza miziki yake aina zote online kwa DJMWANGA, MDUNDO, MKITO, AFRO CHART NA KIBINYO, download form hii kisha ijaze na kuituma Whatsapp number 0627498366 ili hatua nyingine kufuatwa. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hakuna uhitaji wa malipo. gusa sehemu iliyoandikwa Download hapo chini ili kupata fomu hiyo.
0 Maoni
TRUE